Tanzania Empowering Organization for Skills Development (TEOSD) inakuletea programu maalumu za mafunzo ya likizo zilizobuniwa kuwasaidia watoto, wanafunzi na vijana kugundua uwezo wao, kufanya maamuzi sahihi na kujiandaa kwa maisha ya baadaye.
Continue